2 Samuel 3:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alikuwa na suria mmoja aitwaye Rispa, binti Aya. Basi, wakati mmoja, Ishboshethi akamwuliza Abneri, “Kwa nini umelala na suria wa baba yangu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Sauli alikuwa na suria, jina lake Rispa binti Aya. Naye Ish-Boshethi akamwambia Abneri, “Kwa nini umekutana kimwili na suria wa baba yangu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sauli alikuwa na suria, jina lake akiitwa Rispa, binti Aya; Ishboshethi akamwuliza Abneri, Kwa nini umeingia kwa suria ya babangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alikuwa na suria mmoja aitwaye Rispa, binti Aya. Basi, wakati mmoja, Ishboshethi akamwuliza Abneri, “Kwa nini umelala na suria wa baba yangu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Sauli alikuwa amekuwa na suria, jina lake Rispa binti wa Aia. Naye Ish-Boshethi akamwambia Abneri, “Kwa nini umekutana kimwili na suria wa baba yangu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Sauli alikuwa amekuwa na suria, jina lake Rispa binti wa Aiya. Naye Ish-Boshethi akamwambia Abneri, “Kwa nini umekutana kimwili na suria wa baba yangu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sauli alikuwa na suria, jina lake akiitwa Rispa, binti Aya; Ishboshethi akamwuliza Abneri, Kwa nini umeingia kwa suria ya babangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alikuwa na suria mmoja aitwaye Rispa, binti Aya. Basi, wakati mmoja, Ishboshethi akamwuliza Abneri, “Kwa nini umelala na suria wa baba yangu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli alikuwa na suria, jina lake Risipa, binti Aya. Naye Isiboseti akamwuliza Abineri: Mbona umeingia kwake suria ya baba yangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sauli alikuwa na suria, jina lake akiitwa Rispa, binti Aya; Ishboshethi akamwuliza Abneri, Kwa nini umeingia kwa suria ya babangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alikuwa na habara mumoja aliyeitwa Risipa, binti ya Aya. Basi, wakati mumoja, Isiboseti akamwuliza Abeneri: “Kwa nini umelala na habara ya baba yangu?”