2 Samuel 4:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ishboshethi mwana wa Shauli, aliposikia kwamba Abneri ameuawa huko Hebroni, alivunjika moyo na watu wote wa Israeli walifadhaika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ish-Boshethi mwana wa Sauli aliposikia kwamba Abneri amekufa huko Hebroni, akakosa ujasiri, nayo Israeli yote wakatiwa hofu kuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata Ishboshethi mwana wa Sauli aliposikia ya kuwa Abneri amekufa huko Hebroni, mikono yake ilikuwa dhaifu, na Waisraeli wote wakataabika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ishboshethi mwana wa Shauli, aliposikia kwamba Abneri ameuawa huko Hebroni, alivunjika moyo na watu wote wa Israeli walifadhaika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ish-Boshethi mwana wa Sauli aliposikia kwamba Abneri amekufa huko Hebroni, akakosa ujasiri, nayo Israeli yote wakatiwa hofu kuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ish-Boshethi mwana wa Sauli aliposikia kwamba Abneri amekufa huko Hebroni, akakosa ujasiri, nayo Israeli yote wakatiwa hofu kuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata Ishboshethi mwana wa Sauli aliposikia ya kuwa Abneri amekufa huko Hebroni, mikono yake ilikuwa dhaifu, na Waisraeli wote wakataabika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ishboshethi mwana wa Shauli, aliposikia kwamba Abneri ameuawa huko Hebroni, alivunjika moyo na watu wote wa Israeli walifadhaika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Isiboseti, mwana wa Sauli, aliposikia, ya kuwa Abineri amekufa huko Heburoni, mikono yake ikamlegea, nao Waisiraeli wote wakastushwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata Ishboshethi mwana wa Sauli aliposikia ya kuwa Abneri amekufa huko Hebroni, mikono yake ilikuwa dhaifu, na Waisraeli wote wakataabika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Isiboseti mwana wa Saulo, aliposikia kwamba Abeneri ameuawa kule Hebroni, alivunjika moyo na watu wote wa Israeli walifazaika.