2 Samuel 4:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakazi wa Be-erothi walikimbilia Gitaimu, na wameishi huko kama wageni hadi leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu watu wa Beerothi walikimbilia huko Gitaimu na wameishi huko kama wageni hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hao Wabeerothi walikimbia kwenda Githaimu, ndipo wanapokaa hali ya ugeni hata hivi leo.)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakazi wa Be-erothi walikimbilia Gitaimu, na wameishi huko kama wageni hadi leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu watu wa Beerothi walikimbilia huko Gitaimu na wameishi huko kama wageni mpaka siku hii ya leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu watu wa Beerothi walikimbilia huko Gitaimu na wameishi huko kama wageni mpaka siku hii ya leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hao Wabeerothi walikimbia kwenda Gitaimu, ndipo wanapokaa kama wageni hata hivi leo.)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakazi wa Be-erothi walikimbilia Gitaimu, na wameishi huko kama wageni hadi leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Waberoti walikuwa wamekimbilia Gitaimu; ndiko, wanakokaa ugenini hata leo hivi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hao Wabeerothi walikimbia kwenda Githaimu, ndipo wanapokaa hali ya ugeni hata hivi leo.)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaaji wa Beroti walikimbilia Gitaimu, na wameishi kule kama wageni mpaka leo.