2 Samuel 5:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Daudi akazidi kuwa maarufu zaidi kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi, kwa sababu Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, alikuwa pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akazidi kuwa mkuu; kwa maana Bwana, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Daudi akazidi kuwa maarufu zaidi kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akazidi kuwa na mamlaka zaidi na zaidi, kwa sababu BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote alikuwa pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akazidi kuwa na nguvu zaidi na zaidi, kwa sababu bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote alikuwa pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akazidi kuwa mkuu; kwa maana BWANA, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Daudi akazidi kuwa maarufu zaidi kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akaendelea kuwa mkuu, kwa sababu Bwana Mungu mwenye vikosi alikuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akazidi kuwa mkuu; kwa maana BWANA, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Daudi akazidi kuwa na uwezo zaidi kwa sababu Yawe, Mungu wa majeshi, alikuwa pamoja naye.