2 Samuel 5:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alijitwalia masuria na wake zaidi wa huko mjini Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni. Hao, wakamzalia watoto zaidi wa kiume na wa kike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Daudi kuondoka Hebroni, akajitwalia masuria zaidi na wake huko Yerusalemu, nao wana wengi wa kiume na wa kike walizaliwa kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akazidi kujitwalia masuria na wake huko Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni; wakazaliwa zaidi kwa Daudi wana na binti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alijitwalia masuria na wake zaidi wa huko mjini Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni. Hao, wakamzalia watoto zaidi wa kiume na wa kike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Daudi kuondoka Hebroni, akajitwalia masuria zaidi na wake huko Yerusalemu, nao wana na binti wengi walizaliwa kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Daudi kuondoka Hebroni, akajitwalia masuria zaidi na wake huko Yerusalemu, nao wana na binti wengi walizaliwa kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akazidi kujitwalia masuria na wake huko Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni; wakazaliwa zaidi kwa Daudi wana na binti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alijitwalia masuria na wake zaidi wa huko mjini Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni. Hao, wakamzalia watoto zaidi wa kiume na wa kike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akachukua tena masuria na wake mle Yerusalemu alipokwisha kuingia humo na kutoka Heburoni, Dawidi akazaa tena wana wa kiume na wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akazidi kujitwalia masuria na wake huko Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni; wakazaliwa zaidi kwa Daudi wana na binti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alijitwalia wahabara na kuoa wake zaidi wa kule katika muji wa Yerusalema kisha kutoka Hebroni. Hao, wakamuzalia wana na wabinti.