2 Samuel 5:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti walifika na kujitawanya kwenye Bonde la Refaimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kusambaa kwenye Bonde la Warefai,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kujitawanya bondeni mwa Warefai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti walifika na kujitawanya kwenye Bonde la Refaimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kusambaa kwenye Bonde la Refaimu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kusambaa kwenye Bonde la Warefai,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kujitawanya bondeni mwa Warefai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti walifika na kujitawanya kwenye Bonde la Refaimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafilisti wakaja, wakajieneza Bondeni kwa Majitu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kujitawanya bondeni mwa Warefai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini walifika na kujitawanya kwenye Bonde la Refaimu.