2 Samuel 5:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti waliziacha sanamu zao za miungu mahali hapo, naye Daudi na watu wake wakazichukua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafilisti wakaziacha sanamu zao huko, naye Daudi na watu wake wakazichukua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakaziacha sanamu zao huko, na Daudi na watu wake wakaziondolea mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti waliziacha sanamu zao za miungu mahali hapo, naye Daudi na watu wake wakazichukua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafilisti wakatelekeza vinyago vyao huko, naye Daudi na watu wake wakavichukua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafilisti wakaiacha miungu yao huko, naye Daudi na watu wake wakaichukua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakaziacha sanamu zao huko, na Daudi na watu wake wakaziondolea mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti waliziacha sanamu zao za miungu mahali hapo, naye Daudi na watu wake wakazichukua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaacha kule vinyago vyao, lakini Dawidi na watu wake wakavichukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakaziacha sanamu zao huko, na Daudi na watu wake wakaziondolea mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini waliziacha sanamu zao za miungu pahali pale, naye Daudi na watu wake wakazikamata.