2 Samuel 5:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mara ya pili, Wafilisti walifika tena na kujitawanya kwenye bonde la Refaimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafilisti walikwea kwa mara nyingine na kusambaa katika Bonde la Warefai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini wakapanda hao Wafilisti tena mara ya pili, wakajitawanya bondeni mwa Warefai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mara ya pili, Wafilisti walifika tena na kujitawanya kwenye bonde la Refaimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafilisti walikwea kwa mara nyingine tena na kusambaa katika Bonde la Refaimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafilisti walikwea kwa mara nyingine na kusambaa katika Bonde la Warefai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini wakapanda hao Wafilisti tena mara ya pili, wakajitawanya bondeni mwa Warefai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mara ya pili, Wafilisti walifika tena na kujitawanya kwenye bonde la Refaimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Wafilisti wakapanda tena, wakajieneza kulekule Bondeni kwa Majitu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini wakapanda hao Wafilisti tena mara ya pili, wakajitawanya bondeni mwa Warefai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mara ya pili, Wafilistini walifika tena na kujitawanya kwenye bonde la Refaimu.