2 Samuel 5:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, naye akawapiga Wafilisti kutoka Geba hadi Gezeri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Daudi akafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza, naye akawaangusha Wafilisti njia yote kuanzia Geba hadi Gezeri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo alivyotenda Daudi, vile vile kama Bwana alivyomwagiza; naye akawapiga Wafilisti toka Geba hata ujapo Gezeri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, naye akawapiga Wafilisti kutoka Geba hadi Gezeri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Daudi akafanya kama BWANA alivyomwagiza, naye akawaangusha Wafilisti njia yote kuanzia Gebba hadi Gezeri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Daudi akafanya kama bwana alivyomwagiza, naye akawaangusha Wafilisti njia yote kuanzia Geba hadi Gezeri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo alivyotenda Daudi, vile vile kama BWANA alivyomwagiza; naye akawapiga Wafilisti toka Geba hata ujapo Gezeri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, naye akawapiga Wafilisti kutoka Geba hadi Gezeri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akafanya, kama Bwana alivyomwagiza, akawapiga Wafilisti toka Geba, hata mtu afike Gezeri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo alivyotenda Daudi, vile vile kama BWANA alivyomwagiza; naye akawapiga Wafilisti toka Geba hata ujapo Gezeri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alifanya kama vile alivyoamuriwa na Yawe, naye akawapiga Wafilistini kutokea Geba mpaka Gezeri.