2 Samuel 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, na alitawala kwa muda wa miaka arubaini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, naye akatawala Israeli kwa miaka arobaini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi alikuwa amepata miaka thelathini alipoanza kutawala, akatawala miaka arobaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, na alitawala kwa muda wa miaka arubaini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi alikuwa na miaka thelathini alipoanza kutawala, naye akatawala Israeli miaka arobaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alikuwa na miaka thelathini alipoanza kutawala, naye akatawala Israeli miaka arobaini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, akatawala miaka arobaini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, na alitawala kwa muda wa miaka arubaini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi alikuwa mwenye miaka 30 alipoupata ufalme, akawa mfalme miaka 40.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi alikuwa amepata miaka thelathini alipoanza kutawala, akatawala miaka arobaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alikuwa na umri wa miaka makumi tatu alipoanza kutawala, na alitawala kwa muda wa miaka makumi ine.