2 Samuel 5:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, mfalme Daudi aliiteka ngome ya Siyoni, yaani mji wa Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Daudi aliipiga ngome ya Sayuni; huu ndio mji wa Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, mfalme Daudi aliiteka ngome ya Siyoni, yaani mji wa Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, Daudi akateka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Daudi aliiteka ngome ya Sayuni; huu ndio mji wa Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, mfalme Daudi aliiteka ngome ya Siyoni, yaani mji wa Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Dawidi akaliteka boma la Sioni, ndio mji wa Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Daudi aliipiga ngome ya Sayuni; huu ndio mji wa Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, mufalme Daudi aliteka kikingio cha Sayuni, ni kusema muji wa Daudi.