2 Samuel 6:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena Daudi akakusanya vijana wenye uwezo wote wa Israeli: watu elfu thelathini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akakusanya tena wateule wote wa Israeli, watu thelathini elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akakusanya tena watu 30,000 wa Israeli waliochaguliwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena Daudi akakusanya watu 30,000 wa Israeli waliochaguliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akakusanya tena wateule wote wa Israeli, watu elfu thelathini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akawakusanya tena wapiga vita wote waliochaguliwa kwao Waisiraeli, watu 30000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akakusanya tena wateule wote wa Israeli, watu thelathini elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale waaskari bora wa Israeli. Jumla yao ilikuwa watu elfu makumi tatu.