2 Samuel 6:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sanduku hilo la Mwenyezi-Mungu lilikaa nyumbani kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu; naye Mwenyezi-Mungu akambariki Obed-edomu pamoja na jamaa yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sanduku la Mwenyezi Mungu likakaa katika nyumba ya Obed-Edomu, Mgiti, kwa miezi mitatu, naye Mwenyezi Mungu akambariki pamoja na nyumba yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sanduku la Bwana akalitia katika nyumba ya Obed-edomu, Mgiti, muda wa miezi mitatu; naye Bwana akambarikia Obed-edomu, na nyumba yake yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sanduku hilo la Mwenyezi-Mungu lilikaa nyumbani kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu; naye Mwenyezi-Mungu akambariki Obed-edomu pamoja na jamaa yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sanduku la BWANA likabaki katika nyumba ya Obed-Edomu, Mgiti, kwa miezi mitatu, naye BWANA akambariki pamoja na nyumba yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sanduku la bwana likabaki katika nyumba ya Obed-Edomu, Mgiti, kwa miezi mitatu, naye bwana akambariki pamoja na nyumba yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sanduku la BWANA akalitia katika nyumba ya Obed-edomu, Mgiti, muda wa miezi mitatu; naye BWANA akambariki Obed-edomu, na nyumba yake yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sanduku hilo la Mwenyezi-Mungu lilikaa nyumbani kwa Obed-edomu kwa muda wa miezi mitatu; naye Mwenyezi-Mungu akambariki Obed-edomu pamoja na jamaa yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Humo nyumbani mwa Obedi-Edomu wa Gati Sanduku la Bwana likakaa miezi mitatu, naye Bwana akambariki Obedi-Edomu na mlango wake wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sanduku la BWANA akalitia katika nyumba ya Obed-edomu, Mgiti, muda wa miezi mitatu; naye BWANA akambarikia Obed-edomu, na nyumba yake yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sanduku hilo la Yawe lilikaa katika nyumba ya Obedi-Edomu kwa muda wa miezi mitatu; naye Yawe akamubariki Obedi-Edomu pamoja na jamaa yake.