2 Samuel 6:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, yeye na Waisraeli wote walilipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu hadi mjini mwa Daudi kwa shangwe na sauti kubwa ya tarumbeta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakati yeye na nyumba yote ya Israeli walipopandisha Sanduku la Mwenyezi Mungu kwa shangwe na sauti za tarumbeta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi na nyumba yote ya Israeli wakalileta sanduku la Bwana kwa shangwe, na kwa sauti ya tarumbeta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, yeye na Waisraeli wote walilipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu hadi mjini mwa Daudi kwa shangwe na sauti kubwa ya tarumbeta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakati yeye na nyumba yote ya Israeli walipopandisha Sanduku la BWANA kwa shangwe na sauti za tarumbeta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakati yeye na nyumba yote ya Israeli walipopandisha Sanduku la bwana kwa shangwe na sauti za tarumbeta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi na nyumba yote ya Israeli wakalileta sanduku la BWANA kwa shangwe, na kwa sauti ya tarumbeta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, yeye na Waisraeli wote walilipeleka sanduku la Mwenyezi-Mungu hadi mjini mwa Daudi kwa shangwe na sauti kubwa ya tarumbeta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Dawidi na mlango wote wa Waisiraeli walivyolipandisha Sanduku la Bwana kwa kushangilia na kupiga mabaragumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi na nyumba yote ya Israeli wakalileta sanduku la BWANA kwa shangwe, na kwa sauti ya tarumbeta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, yeye na Waisraeli wote walilipeleka Sanduku la Yawe mpaka katika muji wa Daudi kwa shangwe na sauti kubwa ya baragumu.