2 Samuel 6:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
likiwa na sanduku hilo la Mungu, naye Ahio akiwa anatangulia mbele ya sanduku hilo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
likiwa na Sanduku la Mungu juu yake, naye Ahio alikuwa anatembea akiwa mbele yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakalitoa katika nyumba ya Abinadabu iliyoko kilimani, pamoja na sanduku la Bwana; na huyo Ahio akatangulia mbele ya sanduku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
likiwa na sanduku hilo la Mungu, naye Ahio akiwa anatangulia mbele ya sanduku hilo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
likiwa na Sanduku la Mungu juu yake, naye Ahio alikuwa anatembea akiwa mbele yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
likiwa na Sanduku la Mungu juu yake, naye Ahio alikuwa anatembea akiwa mbele yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakalitoa katika nyumba ya Abinadabu iliyoko kilimani, pamoja na sanduku la BWANA; na huyo Ahio akatangulia mbele ya sanduku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
likiwa na sanduku hilo la Mungu, naye Ahio akiwa anatangulia mbele ya sanduku hilo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kulitoa katika nyumba ya Abinadabu iliyokuwa kilimani juu, wakalipeleka Sanduku la Mungu, Ayo akilitangulia Sanduku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakalitoa katika nyumba ya Abinadabu iliyoko kilimani, pamoja na sanduku la BWANA; na huyo Ahio akatangulia mbele ya sanduku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
likiwa na Sanduku lile la Mungu, naye Ahio akiwa anatangulia mbele ya Sanduku lile.