2 Samuel 6:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo Daudi alimwogopa Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa litanijiaje sanduku la Mwenyezi-Mungu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamwogopa Mwenyezi Mungu siku ile, akasema, “Ni jinsi gani Sanduku la Mwenyezi Mungu litakavyoweza kunijia?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akamwogopa Bwana siku ile; akasema, Litanijiaje sanduku la Bwana?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo Daudi alimwogopa Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa litanijiaje sanduku la Mwenyezi-Mungu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamwogopa BWANA siku ile, akasema, “Ni jinsi gani Sanduku la BWANA litakavyoweza kunijia?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamwogopa bwana siku ile, akasema, “Ni jinsi gani Sanduku la bwana litakavyoweza kunijia?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akamwogopa BWANA siku ile; akasema, Litanijiaje sanduku la BWANA?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo Daudi alimwogopa Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa litanijiaje sanduku la Mwenyezi-Mungu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo Dawidi akashikwa na woga wa kumwogopa Bwana kwamba: Sanduku la Bwana litawezaje kufika kwangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akamwogopa BWANA siku ile; akasema, Litanijiaje sanduku la BWANA?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo Daudi alimwogopa Yawe akasema: “Sasa Sanduku la Yawe litanifikia namna gani?”