2 Samuel 7:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati mfalme Daudi alipokuwa akikaa katika ikulu, naye Mwenyezi-Mungu amemuwezesha kuwa na amani na adui zake kila upande,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya mfalme kuingia rasmi katika jumba lake la kifalme, naye Mwenyezi Mungu akiwa amempa amani pande zote kutoka kwa adui zake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, mfalme alipokuwa akikaa katika nyumba yake, hapo Bwana alipomstarehesha, asiudhiwe na adui zake waliomzunguka pande zote,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati mfalme Daudi alipokuwa akikaa katika ikulu, naye Mwenyezi-Mungu amemuwezesha kuwa na amani na adui zake kila upande,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya mfalme kukaa katika jumba lake la kifalme kwa utulivu, naye BWANA akiwa amemstarehesha pande zote mbali na adui zake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya mfalme kuingia rasmi katika jumba lake la kifalme, naye bwana akiwa amemstarehesha pande zote mbali na adui zake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, mfalme alipokuwa akikaa katika nyumba yake, hapo BWANA alipomstarehesha, asiudhiwe na adui zake waliomzunguka pande zote,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati mfalme Daudi alipokuwa akikaa katika ikulu, naye Mwenyezi-Mungu amemuwezesha kuwa na amani na adui zake kila upande,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, mfalme alipokaa nyumbani mwake, kwa kuwa Bwana alikuwa amemtuliza akiwanyamazisha adui zake zote waliomzunguka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, mfalme alipokuwa akikaa katika nyumba yake, hapo BWANA alipomstarehesha, asiudhiwe na adui zake waliomzunguka pande zote,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati mufalme Daudi alipokuwa akikaa katika nyumba yake ya kifalme, naye Yawe amemwezesha kuwa na amani na waadui zake kila upande,