2 Samuel 7:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini sitamwondolea fadhili zangu kama vile nilivyoziondoa kwa Shauli, niliyemwondoa mbele yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini upendo wangu kamwe hautaondolewa kwake, kama nilivyouondoa kwa Sauli, niliyemwondoa atoke mbele yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini fadhili zangu hazitamwondoka, kama vile nilivyomwondolea Sauli, niliyemwondoa mbele yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini sitamwondolea fadhili zangu kama vile nilivyoziondoa kwa Shauli, niliyemwondoa mbele yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini upendo wangu kamwe hautaondolewa kwake, kama nilivyouondoa kwa Sauli, niliyemwondoa atoke mbele yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini upendo wangu kamwe hautaondolewa kwake, kama nilivyouondoa kwa Sauli, niliyemwondoa atoke mbele yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini fadhili zangu hazitamwondoka, kama vile nilivyomwondolea Sauli, niliyemwondoa mbele yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini sitamwondolea fadhili zangu kama vile nilivyoziondoa kwa Shauli, niliyemwondoa mbele yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini upole wangu hautaondoka kwake, kama nilivyouondoa kwake Sauli, nilipomwondoa usoni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini fadhili zangu hazitamwondoka, kama vile nilivyomwondolea Sauli, niliyemwondoa mbele yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini sitaacha kumutendea mema yangu kama vile nilivyoacha kwa Saulo, niliyemwondoa mbele yako.