2 Samuel 7:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nathani alimweleza Daudi kila kitu ambacho alioneshwa katika maono hayo na Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maneno hayo yote, na kwa maono hayo yote, ndivyo Nathani alivyonena na Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nathani alimweleza Daudi kila kitu ambacho alioneshwa katika maono hayo na Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maneno hayo yote, na kwa maono hayo yote, ndivyo Nathani alivyonena na Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nathani alimweleza Daudi kila kitu ambacho alioneshwa katika maono hayo na Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Natani akamwambia Dawidi haya maneno yote sawasawa, kama alivyoambiwa mwenyewe na kuonyeshwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maneno hayo yote, na kwa maono hayo yote, ndivyo Nathani alivyonena na Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Natani alimwelezea Daudi kila kitu ambacho alionyeshwa katika maono hayo na Mungu.