2 Samuel 7:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha mfalme Daudi akaingia ndani na kuketi mbele ya Mwenyezi-Mungu; halafu akaomba, “Mimi ni nani ee Bwana Mungu, na jamaa yangu ni nini hata ukaniinua mpaka hapa nilipo leo!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Mfalme Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za Mwenyezi Mungu, akasema: “Ee Bwana Mungu Mwenyezi, mimi ni nani, na jamaa yangu ni nini, hata umenileta hadi hapa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Daudi, mfalme, akaingia, akaketi mbele za Bwana, akasema, Mimi ni nani, Bwana MUNGU, na nyumba yangu ni nini, hata umenileta hata hapa?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha mfalme Daudi akaingia ndani na kuketi mbele ya Mwenyezi-Mungu; halafu akaomba, “Mimi ni nani ee Bwana Mungu, na jamaa yangu ni nini hata ukaniinua mpaka hapa nilipo leo!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za BWANA, akasema: “Ee BWANA Mwenyezi, mimi ni nani, nayo jamaa yangu ni nini, hata umenileta mpaka hapa nilipo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Mfalme Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za bwana, akasema: “Ee bwana Mwenyezi, mimi ni nani, na jamaa yangu ni nini, hata umenileta mpaka hapa nilipo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Daudi, mfalme, akaingia, akaketi mbele za BWANA, akasema, Mimi ni nani, Bwana MUNGU, na nyumba yangu ni nini, hata umenileta hadi hapa?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha mfalme Daudi akaingia ndani na kuketi mbele ya Mwenyezi-Mungu; halafu akaomba, “Mimi ni nani ee Bwana Mungu, na jamaa yangu ni nini hata ukaniinua mpaka hapa nilipo leo!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mfalme Dawidi akaingia pake Bwana, akakaa hapo akisema: Bwana Mungu, mimi ni nani? nao mlango wangu ni nini, ukinileta, nifike hapa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Daudi, mfalme, akaingia, akaketi mbele za BWANA, akasema, Mimi ni nani, Bwana MUNGU, na nyumba yangu ni nini, hata umenileta hata hapa?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme Daudi akaingia ndani na kuikaa mbele ya Yawe; halafu akaomba: “Mimi ni nani, ee Bwana wangu Yawe, na jamaa yangu ni nini hata ukaniinua mpaka hapa ninapokuwa leo!