2 Samuel 7:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata umewaimarisha watu wako wa Israeli kwa ajili yako mwenyewe, ili wawe watu wako milele; nawe ee Mwenyezi-Mungu umekuwa Mungu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeimarisha watu wako Israeli hasa kama watu wako mwenyewe milele, nawe, Ee Mwenyezi Mungu, umekuwa Mungu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe ulijifanyia imara watu wako Israeli, wawe watu wako milele; nawe, Bwana, umekuwa Mungu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata umewaimarisha watu wako wa Israeli kwa ajili yako mwenyewe, ili wawe watu wako milele; nawe ee Mwenyezi-Mungu umekuwa Mungu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeimarisha watu wako Israeli hasa kama watu wako mwenyewe milele, nawe, Ee BWANA, umekuwa Mungu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeimarisha watu wako Israeli hasa kama watu wako mwenyewe milele, nawe, Ee bwana, umekuwa Mungu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe ulijifanyia imara watu wako wa Israeli, wawe watu wako milele; nawe, BWANA, umekuwa Mungu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata umewaimarisha watu wako wa Israeli kwa ajili yako mwenyewe, ili wawe watu wako milele; nawe ee Mwenyezi-Mungu umekuwa Mungu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukajiwekea ukoo wako wa Waisiraeli kuwa ukoo wako kale na kale, wewe Bwana ukawa Mungu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe ulijifanyia imara watu wako Israeli, wawe watu wako milele; nawe, BWANA, umekuwa Mungu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata umewaimarisha watu wako Waisraeli kwa ajili yako mwenyewe, kusudi wakuwe watu wako milele; nawe ee Yawe umekuwa Mungu wao.