2 Samuel 7:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, sasa, ee Mwenyezi-Mungu, ikamilishe ile ahadi uliyosema kuhusu mimi mtumishi wako na kuhusu jamaa yangu kama ulivyoahidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi sasa, Bwana Mwenyezi Mungu, ukaitimize ahadi uliyosema kuhusu mtumishi wako na nyumba yake milele. Fanya kama ulivyoahidi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, Ee Bwana Mungu, neno lile ulilolinena katika habari za mtumwa wako, na katika habari za nyumba yangu, ulifanye imara milele, ukatende kama ulivyosema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, sasa, ee Mwenyezi-Mungu, ikamilishe ile ahadi uliyosema kuhusu mimi mtumishi wako na kuhusu jamaa yangu kama ulivyoahidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Basi sasa, BWANA, ukaitimize ahadi uliyosema kuhusu mtumishi wako na nyumba yake milele. Ukafanye kama ulivyoahidi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Basi sasa, bwana, ukaitimize ahadi uliyosema kuhusu mtumishi wako na nyumba yake milele. Fanya kama ulivyoahidi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, Ee BWANA Mungu, neno lile ulilolinena kuhusu mtumishi wako, na kuhusu nyumba yangu, uliimarishe milele, ukatende kama ulivyosema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, sasa, ee Mwenyezi-Mungu, ikamilishe ile ahadi uliyosema kuhusu mimi mtumishi wako na kuhusu jamaa yangu kama ulivyoahidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa, Bwana Mungu, neno hilo, ulilolisema la mtumishi wako na la mlango wake, lisimamishe kuwapo kale na kale ukifanya, kama ulivyosema!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, Ee BWANA Mungu, neno lile ulilolinena katika habari za mtumwa wako, na katika habari za nyumba yangu, ulifanye imara milele, ukatende kama ulivyosema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, sasa, ee Yawe Mungu, uikamilishe ile ahadi uliyosema juu yangu mimi mutumishi wako na juu ya jamaa yangu.