2 Samuel 7:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nalo jina lako litatukuzwa milele, nao watu watasema, ‘Mwenyezi-Mungu wa majeshi ni Mungu juu ya Israeli!’ Na jamaa yangu, mimi Daudi mtumishi wako, itaimarika mbele yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili jina lako litukuke milele. Ndipo watu watasema, ‘Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ni Mungu juu ya Israeli!’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itakuwa imara mbele zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jina lako na litukuzwe milele, kusema, Bwana wa majeshi ndiye Mungu juu ya Israeli; na nyumba ya mtumwa wako, Daudi, itakuwa imara mbele zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nalo jina lako litatukuzwa milele, nao watu watasema, ‘Mwenyezi-Mungu wa majeshi ni Mungu juu ya Israeli!’ Na jamaa yangu, mimi Daudi mtumishi wako, itaimarika mbele yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwamba jina lako litukuke milele. Ndipo watu watasema, ‘BWANA Mwenye Nguvu Zote ni Mungu juu ya Israeli!’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itakuwa imara mbele zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwamba jina lako litukuke milele. Ndipo watu watasema, ‘ bwana Mwenye Nguvu Zote ni Mungu juu ya Israeli!’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itakuwa imara mbele zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jina lako na litukuzwe milele, kwa kusema, BWANA wa majeshi ndiye Mungu juu ya Israeli; na nyumba ya mtumishi wako, Daudi, itaimarika mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nalo jina lako litatukuzwa milele, nao watu watasema, ‘Mwenyezi-Mungu wa majeshi ni Mungu juu ya Israeli!’ Na jamaa yangu, mimi Daudi mtumishi wako, itaimarika mbele yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Jina lako litakavyokuwa kubwa kale na kale kwamba: Bwana Mwenye vikosi ni Mungu wa Isiraeli, tena ndivyo, mlango wa mtumishi wako Dawidi utakavyokuwa wenye nguvu mbele yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jina lako na litukuzwe milele, kusema, BWANA wa majeshi ndiye Mungu juu ya Israeli; na nyumba ya mtumwa wako, Daudi, itakuwa imara mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nalo jina lako litatukuzwa milele, nao watu watasema: ‘Yawe wa majeshi ni Mungu juu ya Israeli!’ Na jamaa yangu, mimi Daudi mutumishi wako, itaimarika mbele yako.