2 Samuel 7:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, ee Bwana Mungu, wewe ndiwe Mungu, na maneno yako ni kweli na umeniahidi mimi mtumishi wako jambo hili jema;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana Mungu Mwenyezi, wewe ndiwe Mungu! Maneno yako ndiyo kweli, nawe umemwahidi mtumishi wako mambo haya mazuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, Ee Bwana MUNGU, wewe ndiwe Mungu, na maneno yako ndiyo kweli, nawe umemwahidia mtumwa wako jambo hili jema
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, ee Bwana Mungu, wewe ndiwe Mungu, na maneno yako ni kweli na umeniahidi mimi mtumishi wako jambo hili jema;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mwenyezi, wewe ndiwe Mungu! Maneno yako ndiyo kweli, nawe umeahidi mambo haya mazuri kwa mtumishi wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mwenyezi, wewe ndiwe Mungu! Maneno yako ndiyo kweli, nawe umemwahidi mtumishi wako mambo haya mazuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, Ee Bwana MUNGU, wewe ndiwe Mungu, na maneno yako ndiyo kweli, nawe umemwahidia mtumishi wako jambo hili jema
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, ee Bwana Mungu, wewe ndiwe Mungu, na maneno yako ni kweli na umeniahidi mimi mtumishi wako jambo hili jema;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Bwana Mungu, wewe ndiwe Mungu; kwa hiyo maneno yako yatatimia kweli, hayo mema, uliyomwambia mtumishi wako, yapate kuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, Ee Bwana MUNGU, wewe ndiwe Mungu, na maneno yako ndiyo kweli, nawe umemwahidia mtumwa wako jambo hili jema
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, ee Bwana wangu Yawe, wewe ndiwe Mungu, na maneno yako ni kweli. Umeniahidi mimi mutumishi wako jambo hili jema.