2 Samuel 7:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa hiyo, nakuomba nyumba yangu mimi mtumishi wako ipate kudumu milele mbele yako; kwani wewe umesema hivyo, pia kwa baraka zako nyumba yangu itabarikiwa milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa naomba uwe radhi kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili idumu mbele zako milele, kwa maana wewe, Ee Bwana Mungu Mwenyezi, umesema, na kwa baraka zako nyumba ya mtumishi wako itaendelea kubarikiwa milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
basi, sasa, uwe radhi, ukaibarikie nyumba ya mtumwa wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, Ee Bwana MUNGU, umelinena na kwa baraka yako nyumba ya mtumwa wako na ibarikiwe milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa hiyo, nakuomba nyumba yangu mimi mtumishi wako ipate kudumu milele mbele yako; kwani wewe umesema hivyo, pia kwa baraka zako nyumba yangu itabarikiwa milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa naomba uwe radhi kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili iweze kudumu mbele zako milele, kwa maana wewe, Ee BWANA Mwenyezi, umesema, na kwa baraka zako nyumba ya mtumishi wako itaendelea kubarikiwa milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa naomba uwe radhi kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili idumu mbele zako milele, kwa maana wewe, Ee bwana Mwenyezi, umesema, na kwa baraka zako nyumba ya mtumishi wako itaendelea kubarikiwa milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
basi, sasa, uwe radhi, ukaibariki nyumba ya mtumishi wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, Ee Bwana MUNGU, umelinena na kwa baraka yako nyumba ya mtumishi wako na ibarikiwe milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa hiyo, nakuomba nyumba yangu mimi mtumishi wako ipate kudumu milele mbele yako; kwani wewe umesema hivyo, pia kwa baraka zako nyumba yangu itabarikiwa milele.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa na ikupendeze kuubariki mlango wa mtumishi wako, uwepo kale na kale usoni pako! Kwani wewe, Bwana Mungu, umeyasema; kwa hiyo mlango wa mtumishi wako utakuwa umebarikiwa kale na kale kwa kuipata mbaraka yako.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
basi, sasa, uwe radhi, ukaibarikie nyumba ya mtumwa wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, Ee Bwana MUNGU, umelinena na kwa baraka yako nyumba ya mtumwa wako na ibarikiwe milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, ninakuomba nyumba yangu mimi mutumishi wako ipate kudumu milele mbele yako. Wewe umesema. Kwa baraka zako nyumba yangu itabarikiwa milele.”