2 Samuel 7:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nathani akamwambia mfalme, “Nenda ufanye chochote unachofikiria moyoni mwako, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu yu pamoja nawe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nathani akamjibu mfalme, “Lolote ulilo nalo moyoni, endelea ukalifanye, kwa maana Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nathani akamwambia mfalme, Haya, fanya yote yaliyomo moyoni mwako; maana Bwana yu pamoja nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nathani akamwambia mfalme, “Nenda ufanye chochote unachofikiria moyoni mwako, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu yu pamoja nawe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nathani akamjibu mfalme, “Lo lote ulilo nalo moyoni, endelea ukalifanye, kwa maana BWANA yu pamoja nawe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nathani akamjibu mfalme, “Lolote ulilo nalo moyoni, endelea ukalifanye, kwa maana bwana yu pamoja nawe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nathani akamwambia mfalme, Haya, fanya yote yaliyomo moyoni mwako; maana BWANA yuko pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nathani akamwambia mfalme, “Nenda ufanye chochote unachofikiria moyoni mwako, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu yu pamoja nawe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Natani akamwambia mfalme: Yote yaliyomo moyoni mwako nenda, uyafanye! Kwani Bwana yuko pamoja na wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nathani akamwambia mfalme, Haya, fanya yote yaliyomo moyoni mwako; maana BWANA yu pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Natani akamwambia mufalme: “Kwenda ufanye chochote unachokifikiri ndani ya moyo wako, kwa maana Yawe yuko pamoja nawe.”