2 Samuel 7:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini usiku uleule neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku ule neno la Mwenyezi Mungu likamjia Nathani, kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa usiku uo huo, neno la Bwana likamfikia Nathani kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini usiku uleule neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku ule neno la BWANA likamjia Nathani, kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku ule neno la bwana likamjia Nathani, kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa usiku huo huo, neno la BWANA likamfikia Nathani kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini usiku uleule neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Nathani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini usiku uleule neno la Bwana likamjia Natani kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa usiku uo huo, neno la BWANA likamfikia Nathani kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini usiku uleule neno la Yawe lilimufikia Natani kusema hivi: