2 Samuel 7:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu asema hivi: Je, wewe utanijengea nyumba ya kukaa?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Je, ewe ndiwe wa kunijengea mimi nyumba ili nikae ndani yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enenda, ukamwambie mtumishi wangu, Daudi, Bwana asema hivi, Je! Wewe utanijengea nyumba, nikae ndani yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu asema hivi: Je, wewe utanijengea nyumba ya kukaa?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo BWANA asemalo: Je, ewe ndiwe wa kunijengea mimi nyumba ili nikae ndani yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Je, ewe ndiwe wa kunijengea mimi nyumba ili nikae ndani yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda, ukamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Je! Wewe utanijengea nyumba, nikae ndani yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu asema hivi: Je, wewe utanijengea nyumba ya kukaa?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda, umwambie mtumishi wangu Dawidi: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Wewe unijengee nyumba, nikae?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enenda, ukamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Je! Wewe utanijengea nyumba, nikae ndani yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwenda umwambie mutumishi wangu Daudi: Yawe anasema hivi: Si wewe utakayenijengea nyumba ya kukaa.