2 Samuel 8:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zawadi hizo, pamoja na fedha na dhahabu alizokuwa ameziteka kwa mataifa yote aliyoyashinda, aliziweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa Mwenyezi Mungu, kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu kutoka kwa mataifa yote aliyokuwa ameyashinda:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
hivi pia mfalme Daudi akavifanya wakfu kwa Bwana, pamoja na hiyo fedha, na dhahabu alizofanya wakfu za mataifa yote aliowashinda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zawadi hizo, pamoja na fedha na dhahabu alizokuwa ameziteka kwa mataifa yote aliyoyashinda, aliziweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Daudi akaviweka vyombo hivi wakfu kwa BWANA, kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu kutoka kwa mataifa yote aliyokuwa ameyashinda:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa bwana, kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu kutoka kwa mataifa yote aliyokuwa ameyashinda:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
hivi pia mfalme Daudi akavifanya wakfu kwa BWANA, pamoja na hiyo fedha, na dhahabu alizofanya wakfu za mataifa yote aliowashinda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zawadi hizo, pamoja na fedha na dhahabu alizokuwa ameziteka kwa mataifa yote aliyoyashinda, aliziweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi navyo mfalme Dawidi akavitakasa kuwa mali za Bwana, kama alivyozitakasa nazo fedha na dhahabu, alizozichukua kwa mataifa yote, aliyoyashinda,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
hivi pia mfalme Daudi akavifanya wakfu kwa BWANA, pamoja na hiyo fedha, na dhahabu alizofanya wakfu za mataifa yote aliowashinda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya Yawe, Daudi akatakasa zawadi zile, pamoja na feza na zahabu ambazo alikuwa ameziteka kwa mataifa yote aliyoyashinda,