2 Samuel 8:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaweka kambi za kijeshi katika Edomu yote. Nao Waedomu wote wa huko wakawa watumishi wake. Mwenyezi-Mungu alimpa Daudi ushindi kokote alikokwenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaweka kambi za askari walinzi katika Edomu yote, nao Waedomu wakawa chini ya Daudi. Mwenyezi Mungu alimpatia Daudi ushindi kila alipoenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaweka askari wenye kulinda ngome katika Edomu; katikati ya Edomu yote akaweka ngome, na Waedomi wote wakawa watumwa wa Daudi. Naye Bwana akampa Daudi kushinda kila alikokwenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaweka kambi za kijeshi katika Edomu yote. Nao Waedomu wote wa huko wakawa watumishi wake. Mwenyezi-Mungu alimpa Daudi ushindi kokote alikokwenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaweka kambi za askari walinzi katika Edomu yote, nao Waedomu wakawa chini ya Daudi. BWANA alimpatia Daudi ushindi ko kote alikokwenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaweka kambi za askari walinzi katika Edomu yote, nao Waedomu wakawa chini ya Daudi. bwana alimpatia Daudi ushindi kila alipokwenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaweka askari wenye kulinda ngome katika Edomu; katikati ya Edomu yote akaweka ngome, na Waedomi wote wakawa watumwa wa Daudi. Naye BWANA akampa Daudi ushindi kokote alikokwenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaweka kambi za kijeshi katika Edomu yote. Nao Waedomu wote wa huko wakawa watumishi wake. Mwenyezi-Mungu alimpa Daudi ushindi kokote alikokwenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Dawidi akaweka askari kwa Waedomu, kwao Waedomu akaweka askari po pote, nao Waedomu wote wakawa watumishi wa Dawidi. Ndivyo, Bwana alivyompa Dawidi kushinda po pote, alipokwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaweka askari wenye kulinda ngome katika Edomu; katikati ya Edomu yote akaweka ngome, na Waedomi wote wakawa watumwa wa Daudi. Naye BWANA akampa Daudi kushinda kila alikokwenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaweka kambi za waaskari katika inchi ya Edomu yote. Nao Waedomu wote wa kule wakakuwa watumishi wake. Yawe alimupa Daudi ushindi kokote alikokwenda.