2 Samuel 8:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Daudi akatawala juu ya Israeli yote, akahakikisha watu wake wote wanatendewa haki ipasavyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akatawala juu ya Israeli wote; naye Daudi akawafanyia hukumu na haki watu wake wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Daudi akatawala juu ya Israeli yote, akahakikisha watu wake wote wanatendewa haki ipasavyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akatawala juu ya Israeli yote; naye akawafanyia hukumu na haki watu wake wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Daudi akatawala juu ya Israeli yote, akahakikisha watu wake wote wanatendewa haki ipasavyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akawa mfalme wa Waisiraeli wote, naye Dawidi akawatengenezea watu wake wote mashauri yaliyokuwa sawa, maana yaliongoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akatawala juu ya Israeli wote; naye Daudi akawafanyia hukumu na haki watu wake wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Daudi akatawala juu ya Israeli yote, naye akawahukumu watu wake wote kufuatana na haki na sheria.