2 Samuel 8:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa kiongozi wa Wakerethi na Wapelethi, nao wana wa Daudi wakawa makuhani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa msimamizi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa washauri wa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Benaya, mwana wa Yehoyada, alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi wakawa makuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa kiongozi wa Wakerethi na Wapelethi, nao wana wa Daudi wakawa makuhani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa kiongozi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa washauri wa kifalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa msimamizi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa washauri wa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Benaya, mwana wa Yehoyada, alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi wakawa makuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa kiongozi wa Wakerethi na Wapelethi, nao wana wa Daudi wakawa makuhani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Benaya, mwana wa Yoyada, alikuwa mkuu wao Wakreti na Wapuleti, nao wana wa Dawidi walikuwa watambikaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Benaya, mwana wa Yehoyada, alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi wakawa makuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa kiongozi wa Wakereti na Wapeleti. Wana wa Daudi wakakuwa makuhani.