2 Samuel 8:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao Waaramu wa Damasko walipokwenda kumsaidia Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi aliwashambulia na kuwaua watu 22,000.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waaramu wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadezeri mfalme wa Soba, Daudi akawashambulia na kuwaua watu elfu ishirini na mbili miongoni mwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Washami wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi akawapiga wa Washami watu ishirini na mbili elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao Waaramu wa Damasko walipokwenda kumsaidia Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi aliwashambulia na kuwaua watu 22,000.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waaramu wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadezeri mfalme wa Soba, Daudi akawaua 22,000 miongoni mwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waaramu wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadezeri mfalme wa Soba, Daudi akawashambulia na kuwaua 22,000 miongoni mwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Washami wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi akawapiga watu elfu ishirini na mbili wa Washami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao Waaramu wa Damasko walipokwenda kumsaidia Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi aliwashambulia na kuwaua watu 22,000.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Washami Wa Damasko walipokuja kumsaidia Hadadezeri, mfalme wa Soba, Dawidi akapiga kwao Washami watu 22000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Washami wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi akawapiga wa Washami watu ishirini na mbili elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao Waaramu wa Damasiki walipokwenda kumusaidia Hadadezeri, mufalme wa Zoba, Daudi aliwashambulia na kuwaua watu elfu makumi mbili na mbili.