2 Samuel 8:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati Toi, mfalme wa Hamathi, aliposikia kwamba Daudi amelishinda jeshi lote la Hadadezeri,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia kwamba Daudi amelishinda jeshi lote la Hadadezeri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia ya kwamba Daudi amewapiga jeshi lote la Hadadezeri,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati Toi, mfalme wa Hamathi, aliposikia kwamba Daudi amelishinda jeshi lote la Hadadezeri,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia kwamba Daudi amemshinda jeshi lote la Hadadezeri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia kwamba Daudi amelishinda jeshi lote la Hadadezeri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia ya kwamba Daudi amewapiga jeshi lote la Hadadezeri,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati Toi, mfalme wa Hamathi, aliposikia kwamba Daudi amelishinda jeshi lote la Hadadezeri,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toi, mfalme wa Hamati, aliposikia, ya kuwa Dawidi amevipiga vikosi vyote vya Hadadezeri,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia ya kwamba Daudi amewapiga jeshi lote la Hadadezeri,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati Toi, mufalme wa Hamati, aliposikia kwamba Daudi amewashinda waaskari wote wa Hadadezeri,