2 Samuel 9:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mefiboshethi alikuwa na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Mika. Watu wote wa jamaa ya Siba wakawa watumishi wa Mefiboshethi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mefiboshethi alikuwa na mwanawe mdogo aliyeitwa Mika, nao watu wote wa nyumba ya Siba walikuwa watumishi wa Mefiboshethi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Mefiboshethi alikuwa na mwana mdogo, jina lake akiitwa Mika. Na watu wote waliokaa nyumbani mwa Siba walikuwa watumwa wa Mefiboshethi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mefiboshethi alikuwa na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Mika. Watu wote wa jamaa ya Siba wakawa watumishi wa Mefiboshethi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mefiboshethi alikuwa na mwanawe mdogo aliyeitwa Mika, nao watu wote wa nyumba ya Siba walikuwa watumishi wa Mefiboshethi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mefiboshethi alikuwa na mwanawe mdogo aliyeitwa Mika, nao watu wote wa nyumba ya Siba walikuwa watumishi wa Mefiboshethi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Mefiboshethi alikuwa na mwana mdogo, jina lake akiitwa Mika. Na watu wote waliokaa nyumbani mwa Siba walikuwa watumishi wa Mefiboshethi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mefiboshethi alikuwa na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Mika. Watu wote wa jamaa ya Siba wakawa watumishi wa Mefiboshethi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mefiboseti alikuwa na mwana mdogo, jina lake Mika, nao wote waliokaa nyumbani mwa Siba walikuwa watumishi wake Mefiboseti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Mefiboshethi alikuwa na mwana mdogo, jina lake akiitwa Mika. Na watu wote waliokaa nyumbani mwa Siba walikuwa watumwa wa Mefiboshethi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mefiboseti alikuwa na mwana mudogo aliyeitwa Mika. Watu wote wa jamaa ya Siba wakakuwa watumishi wa Mefiboseti.