2 Samuel 9:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme akamwuliza, “Yuko wapi?” Siba akamjibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akauliza, “Yuko wapi?” Siba akajibu, “Yuko nyumbani mwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-Debari.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akamwambia, Yuko wapi? Siba akamwambia mfalme, Tazama, yumo katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme akamwuliza, “Yuko wapi?” Siba akamjibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akauliza, “Yuko wapi?” Siba akajibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-Debari.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akauliza, “Yuko wapi?” Siba akajibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-Debari.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akamwambia, Yuko wapi? Siba akamwambia mfalme, Tazama, yumo katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme akamwuliza, “Yuko wapi?” Siba akamjibu, “Yuko nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwuliza: Yuko wapi? Siba akamwambia mfalme: Tazama, yumo nyumbani mwa Makiri, mwana wa Amieli, huko Lo-Debari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akamwambia, Yuko wapi? Siba akamwambia mfalme, Tazama, yumo katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akamwuliza: “Yuko wapi?” Siba akamujibu: “Yuko kwenye nyumba ya Makiri mwana wa Amieli kule Lodebari.”