2 Samuel 9:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, mfalme Daudi akatuma watu, naye akaletwa kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mfalme Daudi akamtaka aletwe kutoka Lo-Debari, kutoka nyumbani mwa Makiri mwana wa Amieli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mfalme Daudi akatuma watu, akamwondoa katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, mfalme Daudi akatuma watu, naye akaletwa kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Mfalme Daudi akamtaka aletwe kutoka Lo-Debari, kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Mfalme Daudi akamtaka aletwe kutoka Lo-Debari, kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mfalme Daudi akatuma watu, na kumwondoa katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, mfalme Daudi akatuma watu, naye akaletwa kutoka nyumbani kwa Makiri mwana wa Amieli huko Lo-debari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfalme Dawidi alipotuma watu kumchukua nyumbani mwa Makiri, mwana wa Amieli, huko Lo-Debari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mfalme Daudi akatuma watu, akamwondoa katika nyumba ya Makiri, mwana wa Amieli, katika Lo-debari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, mufalme Daudi akatuma watu, naye akaletwa kutoka nyumba ya Makiri mwana wa Amieli kule Lodebari.