2 Samuel 9:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mefiboshethi akasujudu, na kusema, “Mimi ni sawa na mbwa mfu; kwa nini unishughulikie hivyo?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mefiboshethi akasujudu, akasema, “Mimi mtumishi wako ni nini hata uangalie mbwa mfu kama mimi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasujudu, akasema, Mimi mtumwa wako ni nini, hata ukamwangalia mbwa mfu kama mimi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mefiboshethi akasujudu, na kusema, “Mimi ni sawa na mbwa mfu; kwa nini unishughulikie hivyo?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mefiboshethi akasujudu akasema, “Mimi mtumishi wako ni nini hata uangalie mbwa mfu kama mimi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mefiboshethi akasujudu akasema, “Mimi mtumishi wako ni nini hata uangalie mbwa mfu kama mimi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasujudu, akasema, Mimi mtumishi wako ni nini, hata ukamwangalia mbwa mfu kama mimi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mefiboshethi akasujudu, na kusema, “Mimi ni sawa na mbwa mfu; kwa nini unishughulikie hivyo?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipomwangukia akisema: Mimi, mtumwa wako, ni nani, ukijielekeza kumtazama mbwa mfu, kama mimi nilivyo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasujudu, akasema, Mimi mtumwa wako ni nini, hata ukamwangalia mbwa mfu kama mimi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mefiboseti akainama, na kusema: “Mimi ni sawa na imbwa mufu. Kwa nini unishugulikie hivyo?”