2 Thessalonians 1:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu atafanya jambo la haki: Atawalipa mateso wale wanaowatesa nyinyi
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu ni mwenye haki: yeye atawalipa mateso wale wanaowatesa ninyi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa ni haki mbele za Mungu kuwalipa mateso wale wawatesao ninyi;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni haki kwa Mungu kuwaadhibu wale wanaowaletea matatizo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mungu atafanya jambo la haki: atawalipa mateso wale wanaowatesa ninyi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu atafanya jambo la haki: atawalipa mateso wale wanaowatesa nyinyi
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu ni mwenye haki: yeye atawalipa mateso wale wawatesao ninyi
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu ni mwenye haki: yeye atawalipa mateso wale wawatesao ninyi
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa ni haki mbele za Mungu kuwalipa mateso wale wawatesao ninyi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu atafanya jambo la haki: Atawalipa mateso wale wanaowatesa nyinyi
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wongofu wa Kimungu ndio huu: wenye kuwaumiza atawalipizia maumivu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa ni haki mbele za Mungu kuwalipa mateso wale wawatesao ninyi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana, Mungu yuko na haki ya kuwatesa wale wanaowatesa ninyi,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa kuwa ni haki mbele za Mungu kuwalipa mateso wale wawatesao ninyi,