2 Thessalonians 1:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na miali ya moto, kuwaadhibu wale wanaomkataa Mungu na wale wasiotii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atawaadhibu wale wasiomjua Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
katika mwali wa moto; huku akiwalipiza kisasi wao wasiomjua Mungu, na wao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Atakuja na moto unaoteketeza kuwaadhibu wasiomjua Mungu na wanaokataa kuitii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na miali ya moto, kuwaadhibu wale wanaomkataa Mungu na wale wasiotii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na miali ya moto, kuwaadhibu wale wanaomkataa Mungu na wale wasiotii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atawaadhibu wale wasiomjua Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atawaadhibu wale wasiomjua Mwenyezi Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
katika mwali wa moto; huku akiwalipiza kisasi wao wasiomjua Mungu, na wao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na miali ya moto, kuwaadhibu wale wanaomkataa Mungu na wale wasiotii Habari Njema ya Bwana wetu Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atashuka mwenye moto uwakao sana, awalipize wale wasiomjua Mungu, kwamba walikataa kuutii Utume mwema wa Bwana wetu Yesu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
katika mwali wa moto; huku akiwalipiza kisasi wao wasiomjua Mungu, na wao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
katikati ya ndimi za moto kwa kuazibu wale wanaokataa kumujua Mungu na wale wasiokubali Habari Njema ya Bwana wetu Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
katika mwako wa moto, akiwalipa kisasi wao wasiomjua Mungu, nao wasioitii Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo;