2 Thessalonians 1:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adhabu yao itakuwa kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wataadhibiwa kwa uangamivu wa milele na kutengwa na uso wa Mwenyezi Mungu na utukufu wa uweza wake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wataadhibiwa na maangamizi yasio na mwisho. Hawataruhusiwa kuwa na Bwana lakini watatengwa mbali na nguvu zake za utukufu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Adhabu yao itakuwa kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adhabu yao itakuwa kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wataadhibiwa kwa uangamivu wa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa uweza wake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wataadhibiwa kwa uangamivu wa milele na kutengwa na uso wa Bwana Isa na utukufu wa uweza wake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adhabu yao itakuwa kuangamizwa milele na kutengwa mbali na utukufu wake mkuu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo lipizi, watakalolipata, ni mwangamizo wa kale na kale, maana watatupwa, wasiuone uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
watakaoadhibiwa kwa maangamizi ya milele, kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa nguvu zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Azabu yao itakuwa kuangamizwa kwa milele, na kutengwa mbali na uso wa Bwana na mbali na utukufu wa uwezo wake,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
watakaoadhibiwa kwa uharibifu wa milele, kutengwa na uso wa Bwana na na utukufu wa nguvu zake,