2 Thessalonians 2:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiyo maana Mungu amewaweka chini ya nguvu ya upotovu, wauamini uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu hii, Mungu anawatumia nguvu ya udanganyifu, ili waamini uongo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo Mungu atawaacha wadanganyike hata kuamini uongo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndiyo maana Mungu amewaweka chini ya nguvu ya upotovu, wauamini uongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiyo maana Mungu amewaweka chini ya nguvu ya upotovu, wauamini uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu hii, Mungu ameruhusu watawaliwe na nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini uongo
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu hii, Mwenyezi Mungu ameruhusu watawaliwe na nguvu ya udanganyifu, ili waendelee kuamini uongo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo Mungu anawaletea upotevu mwingi, wauamini uongo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiyo maana Mungu amewaweka chini ya nguvu ya upotovu, wauamini uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hiyo Mungu anawaletea mapotevu yenye nguvu, wayategemee yaliyo ya uwongo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo Mungu awaletea nguvu ya upotevu, wauamini uongo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa sababu hii Mungu amewaweka chini ya nguvu ya upotovu wapate kuamini mambo ya uongo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa biyo Mungu atawaletea nguvu ya upotevu, wauamini uwongo,