2 Thessalonians 2:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, bali wanafurahia dhambi, watahukumiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na hivyo wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili wahukumiwe wote ambao hawakuiamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wote watahukumiwa kwa sababu hawakuamini ujumbe wa kweli na kwa kuwa walifurahia kufanya maovu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, ila wafurahia dhambi, watahukumiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, bali wanafurahia dhambi, watahukumiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na hivyo wote wahukumiwe ambao hawakuamini ule ukweli bali wamefurahia uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na wahukumiwe wote ambao hawakuiamini ile kweli, bali wamefurahia uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili wahukumiwe wote ambao hawakuiamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matokeo yake ni kwamba wote wasioamini ukweli, bali wanafurahia dhambi, watahukumiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wapate kuhukumiwa wote wasioyategemea yaliyo ya kweli, ila walipendezwa nayo yaliyo ya upotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili wahukumiwe wote ambao hawakuiamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hivi wale wote wasioamini maneno ya ukweli, waliofurahia mambo mabaya watahukumiwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
illi wahukumiwe wote wasioamini kweli, bali walikuwa wakijifurahisha katika udhalimu.