2 Thessalonians 2:5 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, hamkumbuki kwamba niliwaambieni haya yote wakati nilipokuwa pamoja nanyi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, hamkumbuki kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Hamkumbuki ya kuwa wakati nilipokuwapo pamoja nanyi naliwaambieni hayo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Niliwaambia zaidi ya mara moja nilipokuwa huko kwamba mambo yote haya yangetokea. Je, mnakumbuka?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Je, hamkumbuki kwamba niliwaambieni haya yote wakati nilipokuwa pamoja nanyi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, hamkumbuki kwamba niliwaambieni haya yote wakati nilipokuwa pamoja nanyi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, hamkumbuki ya kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, hamkumbuki ya kwamba nilipokuwa pamoja nanyi niliwaambia mambo haya?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Hamkumbuki ya kuwa wakati nilipokuwapo pamoja nanyi niliwaambia hayo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, hamkumbuki kwamba niliwaambieni haya yote wakati nilipokuwa pamoja nanyi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hamkumbuki, ya kuwa niliwaambia hayo nilipokuwa kwenu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Hamkumbuki ya kuwa wakati nilipokuwapo pamoja nanyi naliwaambieni hayo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hamukumbuki kwamba niliwaambia maneno haya wakati nilipokuwa pamoja nanyi?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hamkumbuki ya kuwa wakati nilipokuwa pamoja nanyi naliwaambieni hayo?