2 Thessalonians 3:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi ndugu, msichoke kutenda mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwenu ninyi, ndugu, kamwe msichoke katika kutenda mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini ninyi, ndugu, msikate tamaa katika kutenda mema.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msichoke kabisa kutenda wema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ninyi ndugu, msichoke kutenda mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi ndugu, msichoke kutenda mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa upande wenu, ndugu, ninyi kamwe msichoke katika kutenda mema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa upande wenu, ndugu, ninyi kamwe msichoke katika kutenda mema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini ninyi, ndugu, msikate tamaa katika kutenda mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi ndugu, msichoke kutenda mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi, ndugu, msichoke kufanya yaliyo mazuri!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini ninyi, ndugu, msikate tamaa katika kutenda mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi, wandugu, musichoke kutenda mema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini, ninyi, ndugu, msikate tamaa katika kutenda mema.