2 Thessalonians 3:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ombeni pia ili Mungu atuokoe na watu wapotovu na waovu, maana si wote wanauamini ujumbe huu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ombeni pia ili tupate kuokolewa kutokana na watu waovu na wabaya, kwa maana si wote wanaoamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tukaokolewe na watu wasio haki, wabaya; maana si wote walio na imani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtuombee tupate ulinzi kutokana na watu wabaya na waovu. Mnafahamu, siyo wote wanamwamini Bwana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ombeni pia ili Mungu atuokoe na watu wapotovu na waovu, maana si wote wanaoamini ujumbe huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ombeni pia ili Mungu atuokoe na watu wapotovu na waovu, maana si wote wanauamini ujumbe huu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ombeni pia ili kwamba tupate kuokolewa kutokana na watu waovu na wabaya, kwa maana si kila mmoja ana imani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ombeni pia ili tupate kuokolewa kutokana na watu waovu na wabaya, kwa maana si wote wanaoamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na tukaokolewe kutoka kwa watu wasio haki, na waovu, maana si wote walio na imani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ombeni pia ili Mungu atuokoe na watu wapotovu na waovu, maana si wote wanauamini ujumbe huu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena tuombeeni, tuokolewe mikononi mwa watu walio wapuzi na wabaya! Kwani sio wote wawezao kumtegemea Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tukaokolewe na watu wasio haki, wabaya; maana si wote walio na imani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile mumwombe Mungu kusudi atuopoe toka mikono ya watu wabaya na waovu. Kwa maana si watu wote wanaokubali kuamini Habari Njema.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
tukaokolewe na watu wasio haki, wahaya; maana si wote walio na imani.