2 Timothy 1:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jambo lile bora ulilokabidhiwa lilinde kwa nguvu ya Roho Mtakatifu anayeishi ndani yetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilinde ile amana uliyokabidhiwa kwa Roho wa Mungu akaaye ndani yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ilinde ile amana nzuri kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa msaada wa Roho Mtakatifu anayeishi ndani yako, uyalinde mafundisho haya ya mazuri na yenye thamani mliyopewa dhamana kwayo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Jambo lile bora ulilokabidhiwa lilinde kwa nguvu ya Roho Mtakatifu anayeishi ndani yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jambo lile bora ulilokabidhiwa lilinde kwa nguvu ya Roho Mtakatifu anayeishi ndani yetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ilinde ile amana uliyokabidhiwa kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilinde ile amana uliyokabidhiwa kwa Roho wa Mwenyezi Mungu akaaye ndani yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ilinde ile amana nzuri kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jambo lile bora ulilokabidhiwa lilinde kwa nguvu ya Roho Mtakatifu anayeishi ndani yetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hilo limbiko zuri sharti ulilinde kwa nguvu za Roho takatifu ikaayo ndani yetu sisi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ilinde ile amana nzuri kwa Roho Mtakatifu akaaye ndani yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nguvu za Roho Mutakatifu anayekaa ndani yetu, uchunge kile kitu kizuri ulichopewa kwa kulinda.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ilinde ile amana nzuri kwa Rolio Mtakatifu akaae ndani yetu.