2 Timothy 1:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala yake, alipokuwa Rumi alinitafuta kwa bidii hadi akanipata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali, alipokuwapo hapa Rumi, alinitafuta kwa bidii akanipata.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kinyume chake, alipofika Rumi, alinitafuta kwa bidii hadi aliponiona.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali, alipokuwapo hapa Rumi, alinitafuta kwa bidii na kunipata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila alipofika Roma akajipingia kunitafuta, mpaka akiniona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali, alipokuwapo hapa Rumi, alinitafuta kwa bidii akanipata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati alipofika Roma, alinitafuta kwa bidii sana mpaka akaniona.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali, alipokuwa katika Rumi, alinitafuta kwa bidii, akanipata.