2 Timothy 1:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema, rehema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba Mwenyezi, na kwa Al-Masihi Isa, Bwana wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema na iwe kwako, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa: Neema, rehema na amani iwe kwako kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa: Neema, rehema na amani kutoka kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa Timotheo, mwanangu mpendwa: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba, na kwa Al-Masihi Isa Bwana wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema na iwe kwako, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nakuandikia wewe mwanangu mpenzi Timotheo. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upole ukukalie na wema na utengemano unaotoka kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu, Bwana wetu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa Timotheo, mwanangu mpendwa. Neema na iwe kwako, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuandikia wewe Timoteo, mwana wangu mupendwa. Ninakutakia neema, rehema, na amani kutoka kwa Mungu Baba na kwa Bwana wetu Kristo Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa Timotheo mwanangu mpendwa; Neema, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.