2 Timothy 2:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usemi huu ni wa kweli: “Ikiwa tulikufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ni neno la kuaminiwa: Kama tumekufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni neno la kuaminiwa. Kwa maana, Kama tukifa pamoja naye, tutaishi pamoja naye pia;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na hapa kuna usemi wa kuaminiwa: Kama tumekufa pamoja naye, tutaweza kuishi naye pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Usemi huu ni wa kweli: “Ikiwa tulikufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usemi huu ni wa kweli: “Ikiwa tulikufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ni neno la kuaminiwa: Kwa maana kama tumekufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ni neno la kuaminiwa: Kwa maana kama tumekufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni neno la kuaminiwa. Kwa maana, Kama tukifa pamoja naye, tutaishi pamoja naye pia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usemi huu ni wa kweli: “Ikiwa tulikufa pamoja naye, tutaishi pia pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili ni la kweli: Kama tumekufa pamoja naye;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni neno la kuaminiwa. Kwa maana, Kama tukifa pamoja naye, tutaishi pamoja naye pia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno haya ni ya kuaminiwa: Kama tumekufa pamoja naye, tutaishi pamoja naye vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Neno hili ni neno la kuaminiwa. Maana kama tukifa pamoja nae, tutaishi pamoja nae pia;